Mt.leonard Simfukwe Ministries
Huu ni moja ya kurasa maalum ya kukuletea taarifa mbali mbali za huduma.
21/12/2024
BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! TUNAKUKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU HAPA JIJINI MBEYA.KARIBU SANA MTAARIFU NA MWINGINE.....Mungu humwongezea Nguvu asiye kuwa na uwezo..Isaya 40:29b. Njoo umalize Mwaka na Bwana na upokee nguvu mpya ya kukuwezesha huko uendako 2025.TUNAMWAMINI MUNGU ATAKUHUDUMIA KARIBU NA OMBEA SEMINA HII NI WIKI HII.
27/06/2023
TAARIFA MUHIMU NA MAALUM KUTOKA KTK OFISI ZA SERIKALI YA MBINGUNI.
TAREHE 01/07/2023 JUMAMOSI HII,KUTAKUWA NA IBADA MAALUM HAPA JIJINI MBEYA ITAYOAMBATANA NA KUSIFU NA KUABUDU KTK ROHO NA KWELI KUTAKAKOONGOZWA NA BOAZ DANKEN KUTOKA MWANZA.
NDANI YA IBADA KUTAKUWA NA KUKIWEKA WAKFU KITABU KIITWACHO."KUWA MTU MWINGINE" VITABU HIVYO VITAPATIKANA KWA BEI TSH.25,000/=@,
IBADA ITAANZA SAA 7:00 MCHANA KTK JENGO LA KANISA LA KKKT-RUANDA NYUMA YA KABWE STAND.
KUNA NAMNA YA ROHO MTAKATIFU NA UTUKUFU MPYA WA SIKU ZA MWISHO.NJOO UHUISHWE ,NJOO UWE MTU MWINGINE" 1Samweli 10:6-7.
"Wewe ni mbarikiwa,mtaarifu na mwingine"
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Website
Address
Mbeya
53###