Kasimpya
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kasimpya, Shopping & retail, Mtaa wa bank, Mwanjelwa, Mbeya.
22/07/2025
Tumewaletea fridge na freezer za size zote kila mtu apate.
Bei kuanzia 250,000 unapata fridge.
Bidhaa zetu zote zina warrant isiyopungua mwaka mmoja.
Huduma ya usafiri ni bure kwa wateja wa Mbeya mjini na Dsm.
Tunatuma bidhaa mikoa yote kwa uaminifu kabisa.
Pia tunatoa huduma ya kukuagizia/kukununulia bidhaa yoyote ya solar au electronics utakayo kwani tunafahamu wapi utapata bidhaa bora.
Call/WhatsApp 0766 368 250
07/04/2023
HOMEBASE GAS HUB | Jiko la gas lenye 4 gas burners zuri na imara. Pika vyakula vingi kwa wakati mmoja okoa muda wako kwa kutumia jiko la HOMEBASE GAS HUB kutoka dukani kwetu upate na warrant ya mwaka mzima.
Price: 225,000/=
Karibu sana ujipatie bidhaa bora za ELECTRONICS na .
Tunapatikana Mwanjelwa-Mbeya mkabala na soko la SIDO
Call/WhatsApp #0766368250
30/03/2023
BLUETOOTH SPEAKER | Radio ya kuchaji yenye uwezo mzuri. Inashika FM-radio na Bluetooth pia inaplay USB flash na SD card. Zipo za mionekano tofauti tofauti na bei ni nafuu sana kuanzia Tsh. 15,000/= tu.
Karibu sana ujipatie bidhaa bora za electronics na za solar pia.
Tunapatikana Mwanjelwa-Mbeya mkabala na soko la SIDO.
Call/WhatsApp #0766368250
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 19:00 |
| Tuesday | 07:00 - 19:00 |
| Wednesday | 07:00 - 19:00 |
| Thursday | 07:00 - 19:00 |
| Friday | 07:00 - 19:00 |
| Saturday | 07:00 - 19:00 |