Ayubu Taarifa

Ayubu Taarifa

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ayubu Taarifa, Athlete, Mbeya.

21/06/2026

Huenda mchezo wa Fainali wa Kombe la shirikisho la CRDB ukachezwa Julai 4 Uwanja wa Uhuru DSM baada ya marekebisho makubwa ya uwanja huo kukamilika, TFF wanasubiria majibu rasmi kutoka kwa serikali kupitia Wizara ya michezo

K**a itashindikana, Mchezo utapigwa Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar Julai 4 mwezi ujao

21/06/2026

Mshangazi unakimbia huu kmmmke🥹💔

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Mbeya