Baharia TV
Baharia TV is a digital media platform that amplifies citizens’ voices through fact-based storytelling and on-the-ground reporting.
30/05/2026
Hatimaye ndoto imekuwa kweli! PSG wameandika historia back to back kwa kutwaa Kombe la Ulaya baada ya safari ndefu ya kusaka mafanikio makubwa barani Ulaya.
Mashabiki wa Paris sasa wana sababu ya kusherehekea baada ya timu yao kufika kileleni mwa soka la klabu duniani. Usiku wa furaha, historia na kumbukumbu zisizosahaulika kwa PSG. 🔵🔴🏆
Je, huu ni mwanzo wa enzi mpya ya PSG barani Ulaya? 👇
Want your business to be the top-listed Media Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
P. O. Box 3722 Mbeya
Mbeya
367
Mbeya
367