AFYA NI NGUVU
Pata huduma ya Kiafya na Urembo kwa kutumia bidhaa za Forever Living Products. Ni bidhaa za asili kab
Pata ya kwako sasa
28/03/2021
13/12/2020
Punguza uzito na unene uliopitiliza, pia ondoa mafuta mabaya mwilini ya LDL ambayo yanaweza leta madhara mbalimbali ikiwemo high blood pressure, matatizo ya moyo ( Ishaemic heart disease ), Kiharusi (stroke) na mengineyo. Pia unene uliozidi (Obesity) unaweza kupelekea ukapata kisukari (Diabete Mellitus type 2).
Takwimu zinaonyesha hivi sasa magonjwa yasiyoambukizwa k**a yaliyotajwa hapo juu ndio magonjwa yanayoongoza na kusumbua sana kwa sasa kuliko yanayoambukizwa na ndo magonjwa hatari sana kwasababu mengi hayana tiba kamili yakuponesha kabisa.
Zingatia Kinga ni bora kuliko Tiba. Kwa kutumia bidhaa program hii ya C9 utaepukana na shida hizi. C9 ni program ambayo inaweza kupunguza uzito na unene uliopitiliza(Obesity), pia kuchoma mafuta mabaya ya LDL (Low Density Lipoprotein )
Call: 0759231256
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mbeya