Zein khan

Zein khan

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zein khan, News & Media Website, Tunduma, Mbeya.

03/07/2023

Mayele asema kuwa anawashangaa wanaotaka aondoke yanga na wakti bado mkataba wake haujaisha..

Kwa kifupi mayele ana 77.98% za kusalia ktk klabu ya Young African japo kuwa kuna baadhi ya timu zimeonyesha nia ya kuhitaji sain ya mshambuliaji huyo.

>>Uongozi wa yang umesema wapo tayali kuboresha mkataba wa fiston mayele

>> LAKN KUBWA ZAIDK MAYELE MWENYEWE AMEKILI KUWA ANA UWEZEKANO MKUBWA AKABAKI YANGA. Kwa sababu yeye anaipenda yanga.

>>>Usisahau kufolloe page yetu Zein khan

Want your business to be the top-listed Media Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Tunduma
Mbeya