D Safari LTD.

D Safari LTD.

Share

Ni kampuni inayotoa huduma kwa wasafiri wa mabasi kutoka Mbeya kwenda mikoani kufanya booking za safari kupitia mabasi wanayohitaji kwa njia ya simu.

Photos from D Safari LTD.'s post 10/05/2018

Je wewe ni mkazi wa jijini mbeya na ni mtumihaji wa usafiri wa kwenda mikoani kwa njia ya bus? D safari ipo kwa ajili ya kuandaa safari yako mahali popote ulipo mkoani mbeya kupitia njia ya simu.
Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na D safari pale unapokuwa na safari , ili kuwekewa booking katika bus husika unalohitaji kusafiria. D safari itasimamia zoezi zima kuanzia utakapopiga simu , kuweka booking adi utakapokuja kukata tiketi. Wasiliana na D safari pale unapokuwa na safari ili kuweka booking 0652138591

Photos from D Safari LTD.'s post 30/04/2018

Davie safari ipo kwa ajili ya wewe mtumiaji wa usafiri wa bus uliyepo mkoani Mbeya , kuweka booking ya safari yako kuelekea mikoa mbalimbali kwa kuzingatia uchaguzi wa bus unalohitaji kusafiri nalo. Wasiliana nasi kuweka booking ya safari yako 0652138591

Want your business to be the top-listed Taxi in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Mbeya

Opening Hours

Monday 05:00 - 20:00
Tuesday 05:00 - 20:00
Wednesday 05:00 - 20:00
Thursday 05:00 - 20:00
Friday 05:00 - 20:00
Saturday 05:00 - 20:00
Sunday 05:00 - 20:00