Mbeya Paralegal Aid Center
Mbeya Paralegal Aid Organization is mainly focus on promoting community rights in particular of women and children through Community Legal Empowerment.
15/09/2025
Tumekuwa na wakati nzuri wa mjadala kuhusu namna ambavyo Mila na tamaduni potofu zinavyoweza athiri/kwamisha ushiriki wa kundi la katika uchaguzi.
Ni heshima yetu kuwashukuru radio na wa sheria na katika uendeshaji wa vuguvugu hili la mabadiliko.
kwa jamii salama, yenye ustawi wa Maendeleo..
una anza na Mimi pamoja na wewe,
12/09/2025
Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia ndani ya jamii, imekuwa ni sehemu kubwa ya visababishi vya Ukatili wa kijinsia; imekuwa ikihamasisha dhana ya usawa wa kijinsia ndani ya jamii ili kuleta usawa wa kijinsia katika kufikia, kutumia na kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi
Moja ya mbinu wasaidizi wa sheria wamekuwa wakitumia ni njia ya kuendesha mijadala kupitia .
🙏🙏 Wadau wetu kwa ushiririkiano na fursa mliyoipatia ili kuijengea uwezo jamii iyaishi maisha yenye usawa wa kijinsia
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 04:00 |
| Tuesday | 08:30 - 15:30 |
| Wednesday | 08:00 - 15:30 |
| Thursday | 08:00 - 15:30 |
| Friday | 08:00 - 15:30 |