Emma Afya solution
Elimu na Tiba ya Afya ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume π0622165174.
17/02/2026
π SOMO: GE***AL WARTS (VINYAMA SEHEMU ZA SIRI)
π¦ Maana ya Ge***al Warts
Ge***al warts ni vinyama vidogo vinavyoota kwenye sehemu za siri kwa mwanaume au mwanamke kutokana na maambukizi ya virusi vya HPV (Human Papillomavirus).
π¦ Chanzo chake
Husababishwa na virusi vinavyoitwa Human Papillomavirus (HPV).
Aina zinazosababisha zaidi ni HPV type 6 na 11.
Huambukizwa kupitia kujamiiana bila kinga (uke, njia ya haja kubwa au mdomo).
Huenezwa kwa mgusano wa ngozi kwa ngozi hata bila kumwaga shahawa.
π¦ Dalili za Ge***al Warts
πΉKuota vinyama laini au vigumu sehemu za siri.
Vinyama vinaweza kuwa vidogo au vikubwa na wakati mwingine kufanana na ua la cauliflower.
πΉKuwashwa sehemu za siri.
πΉKutokwa damu wakati wa tendo la ndoa (wakati mwingine).
πΉWengine wanaweza kuwa na maambukizi bila dalili yoyote.
π¦ Sehemu Zinazoweza Kuathirika
Kwa wanawake: uke, mlango wa kizazi, sehemu ya nje ya uke, a**s.
Kwa wanaume: uume, korodani, chini ya ngozi ya uume, a**s.
Pia zinaweza kuota mdomoni k**a maambukizi yalitokea kupitia ngono ya mdomo.
π¦ Mambo Yanayoongeza Hatari
πΉKuwa na wapenzi wengi.
πΉKutotumia condom.
πΉKinga ya mwili kuwa dhaifu.
πΉKuanza ngono mapema.
π¦ Tiba ya Ge***al Warts
Hakuna dawa ya kuua kabisa virusi vya HPV, lakini vinyama vinaweza kuondolewa.
Dawa za kunywa kupandisha kinga za mwili na dawa za kupaka maalum sehemu yenye vinyama
Kuchomwa kwa umeme (cauterization).
Kugandishwa kwa baridi kali (cryotherapy).
Upasuaji mdogo kwa vinyama vikubwa.
π¦ Njia za Kujikinga
Kupata chanjo ya HPV.
Kutumia condom kila unapojamiiana.
Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu.
Kufanya uchunguzi wa mara kwa mara hospitalini.
π¦ Madhara Yanayoweza Kutokea
πΉKuenea kwa vinyama kwa wingi na vikubwa hadi kufunika uke au a**s.
πΉMaambukizi ya mara kwa mara.
πΉBaadhi ya aina za HPV zinaweza kusababisha saratani (hasa saratani ya mlango wa kizazi).
Kwa msaada zaidi na tiba nitumie ujumbe WhatsApp Au piga 0622165174 Emma afya solution
12/02/2026
ππππ ππππππ ππππππππππππππ πππππππππ πππ ππππ ππππππππ
1. Kula kiasi kidogo cha chakula na usile ukashiba sana. Kwa kuwa mama mjamzito huwa anasikia njaa mara kwa mara na anahitajia kula vyema ili aujenge vizuri mwili wake na watoto,
basi ni bora chakula chake ukigawe katika sehemu kadhaa ndogo, na ale mara kadhaa, badala ya kula sana wakati mmoja.
Suala hilo litafanya tumbo lake lisijae na kusaidia kuzuia asidi isipande juu ya tumbo na kusababisha kiungulia na gesi.
2. Jitahidi usinywe maji mengi sana baada ya chakula au wakati wa kula,
3. Jitahidi usilale tu mara baada ya kula, subiri k**a nusu saa hivi ipite ndio ulale.
Unapolala usilaze kichwa moja kwa moja bila mto, bali tumia mito kuegemeza kichwa ili kuzuia asidi isirejee juu ya tumbo na kusababisha kiungulia.
Unapohisi kiungulia kunywa glasi ya maziwa au kula mtindi.
Na k**a hali hiyo haijatoweka kunywa maji ya moto glasi moja yaliyowekwa kijiko kimoja.
21/01/2026
Mabadiliko ya uchafu ukeni yanaweza kusababishwa na: βοΈ Bakteria (Bacterial Vaginosis)
βοΈ Fangasi (Candida)
βοΈ Mabadiliko ya homoni
βοΈ Usafi usio sahihi wa sehemu za siri
Dalili k**a muwasho, harufu kali au uchafu mzito hazipaswi kupuuzwa.
π Tiba sahihi husaidia kurejesha mazingira ya kawaida ya uke (vaginal pH).
βοΈ Husaidia kusafisha mfumo wa uzazi
βοΈ Huondoa miwasho & uchafu
βοΈ Hurejesha hali ya kawaida ya uke
β
Usikae kimya! Afya ya mwanamke ni muhimu π―
π© Wasiliana nami kwa ushauri wa kiafya na Tiba
Piga/whatsapp no.βοΈ0622165174
*Kuanzia leo TAREHE 2 basi natoa ofa ya tiba mbalimbali, k**a unahitaji basi njoo inbox tuzungumzee ili upate PACKAGE YAKO ,huenda tuliwahi kuongea kuhusu tiba ,ukashindwa Bei ,basi ni zamu yako njoo usikae na*
UTI
PID
uchafu ukeni
Harufu ukeni
Hormone Imbalance
Hupati mimba
Ukavu ukeni
Miwasho ukeni
*Tezi dume*
*Mifupa na maungio kuuma*
*Kushindwa kufanya tendo*
*Kukosa hisia*
*Matatizo ya kinywa*
*Sumu mwilini.*
*Matatizo ya tumbo*
*Matatizo ya ngozi*
*Na nk na nk*
_Na wakati Kuna ofa unakaaje na hizo changamoto wakati BRIGHT FUTURE CLINIC inatoa ofa kuanzia tareh 2- 5 tu_
*Karibu nikuhudumie namba za huduma ni hii 0622165174β¨*
29/12/2025
β¨ FAIDA ZA PROSTATE RELAX β¨
πΏ 1. Inasaidia kupunguza uvimbe wa tezi dume
Uvimbe wa tezi dume ndio chanzo cha wengi wa matatizo ya kukojoa β bidhaa hii imeundwa kusaidia kupunguza uvimbe na kurahisisha mchakato wa kukojoa.
π§ 2. Kupunguza kwenda chooni mara kwa mara hasa usiku.
Watu wengi wanaanza kuona mabadiliko baada ya siku kadhaa β usiku ukaanza kulala kwa amani bila kusimama mara kwa mara.
β‘ 3. Kuongeza nguvu na stamina
Kwa afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na viungo vya uzazi β wengi husema wana nguvu zaidi na utendaji bora.
π‘οΈ 4. Inakuza afya ya mfumo wa mkojo
Inasaidia pia kupunguza maumivu, kuvimba na kuvurugika kwa mzunguko wa mkojo.
π₯ 5. Asili, Salama & Rahisi Kutumia. Imetengenezwa kwa viambata bora vya asili
ambavo vinasaidia afya ya tezi dume bila madhara makubwa.
β¨ Usikubali prostate ichukue maisha yako!
π Jaribu Prostate Relax leo na uanze kuona mabadiliko ya kweli π₯
π© Tuma neno βPROSTATEβ kwenda 0622165174 sasa kupata maelezo ya bei na jinsi ya kuagiza!
* HII ISIKUPITE #*
16/12/2025
Faida 10 za Vag Care kwa wanawake:
1. Husaidia kusafisha sehemu za siri Kwa nje
2. Huondoa harufu mbaya ya uke.
3. Husaidia kudhibiti bakteria wabaya.
4. Hutoa hali ya ubaridi na usafi (refreshing).
5. Husaidia kulinda usawa wa pH ya uke.
6. Hupunguza muwasho mdogo unaotokea ukeni
7. Hufaa kutumika baada ya hedhi.
8. Husaidia kujiamini na kujisikia safi siku nzima.
9. Hupunguza mkusanyiko wa uchafu na jasho sehemu za siri.
10. Hufaa kutumika baada ya tendo la ndoa (kusafisha nje).
Inapatikana kwangu pekee Kwa sh 55000
Chukua hatua mapema ukiona hali si shwari huko Kwa bibi
Madam Emmakulatha
12/12/2025
*IJUE PROSTATE CURE na MAAJABU YAKE MAKUBWA KWA MATATIZO SUGU*
β *KAZI KUU ZA PROSTATE*
β Inalinda tezi na kuzui kuongezeka kwa tezi dume na kuondoa uvimbe wa tezi dume
β Inazuia kuongezeka Kwa Corodani *(Busha)*
β Maumivu ya Corodani na chini ya kitovu
β MWENYE Matatizo ya ngiri sugu
β Inadumisha Afya ya Mkojo
β Inatibu UIT sugu Kwa mwanaume
β Inaboresha ufanisi wa tendo la ndoa
β Inaondoa maumivu ya kiuno na wakati wa kukojoa
β Husaidia kufika kileleni vizuri bila maumivu.
βInanyonya maji yoote yanayofanya kitu kinaitwa Busha kwenye korodani.
βHuzuia TEZI dume kuongezeka ukubwa na hutibu na kutokomeza kabsa.
β *NANI ANATUMIA*
β Wanaume wenye shida ya tezi dume haswa wenye umri zaidi ya miaka 40.
β Watu wenye Matatizo ya kuvimba kwa corodani *(Busha)*
β Wanaume wenye shida ya kukojoa.
β Wenye shida za nguvu ya kiume.
Β°> Na Wanaume Wenye Shida Ya Mbegu. ( S***m ).
*PROSTATE CURE* *Furaha Ya Mwanaume*.
KARIBU NIKUHUDUMIE
05/12/2025
*UTI (URINARY TRACT INFECTIONS)*
*β‘οΈni maambukizi ya njia ya mkojo. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria, mara nyingi Escherichia coli (E. coli), ambao huingia kwenye njia ya mkojo.*
*Hizi ndizo dalili za UTI sugu*
- *Maumivu ya mara kwa mara wakati wa kukojoa*
- *Haja ya kukojoa kila mara*
- *Mkojo kuwa na harufu kali*
- *Mkojo kuwa na damu au rangi isiyo ya kawaida*
- *Maumivu ya nyonga au tumbo la chini*
- *Homa ya mara kwa mara*
- *Uchovu wa kudumu*
- *Maumivu ya mgongo sehemu ya chini*
- *Kujisikia kutokamilika baada ya kukojoa*
- *Kuwashwa kwenye njia ya mkojo*
*NB: HAIJALISHI UMETESEKA NA UTI SUGU KWA MUDA GANI, UMECHOMA HADI SINDANO BILA MAFANIKIO. USIJALI, TUNALO SULUHISHO BORA KWA AJILI YAKO..KWA DOZI YA SIKU 10 UNAPATA MATOKEO MAZURI NDANI YA SIKU 3 TU!*
23/11/2025
*FAHAMU NAMNA CHANGAMOTO YA MIFUPA INAVYOANZA NA NAMNA YA KUJITIBU UKIWA NYUMBANI KWA SUPPLEMENT ZANGU*
Wagonjwa wengi wenye matatizo ya mifupa na maungio hupata maumivu makali kutokana na sababu kadhaa za kibiolojia na kitabibu. Hizi ndizo sababu kuu:
1. 𦴠Kuvimba kwa maungio (Arthritis)
Magonjwa k**a rheumatoid arthritis au osteoarthritis husababisha maungio kuvimba. Kuvimba huku kunaleta shinikizo kwenye neva na tishu, hivyo kusababisha maumivu makali.
2. π₯ Upungufu wa maji ya viungio (synovial fluid)
Maji haya hulainisha viungo ili visigongane. Kadri mtu anavyozeeka au kwa sababu ya magonjwa, kiwango cha maji haya hupungua, hivyo mifupa hugusana moja kwa moja β na hapo maumivu huwa makali.
3. β‘ Kuharibika kwa gegedu (cartilage)
Gegedu hulinda ncha za mifupa ndani ya maungio. Inapochakaa, mifupa hugusana moja kwa moja, na maumivu huwa makali zaidi wakati wa kutembea au kubeba uzito.
4. π₯ Mwitikio wa kinga ya mwili (autoimmune reaction)
Katika magonjwa k**a rheumatoid arthritis, mfumo wa kinga hushambulia maungio yenyewe k**a βaduiβ, na kusababisha uvimbe, joto, na maumivu ya kudumu.
5. 𧬠Shida za mzunguko wa damu na neva
Ukosefu wa mzunguko mzuri wa damu kwenye maungio au uharibifu wa neva unaweza kuongeza hisia za maumivu.
Kwa ujumla, maumivu makali huwa ni matokeo ya mchanganyiko wa kuvimba, uharibifu wa tishu, na shinikizo kwenye neva.
Ungependa kupata tiba au ushauri juu ya kumalizia tatizo hili piga moja Kwa moja Kwa namba 0622165174
MADAM EMMAKULATHA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya