amini_viatu
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from amini_viatu, Clothing (Brand), Morogoro.
13/12/2025
Huyu Judith ukiwa unamtazama kwenye muvi ya Jua Kali ni tofauti na huyu kwenye maisha halisi.
Huyu binti Kabarikiwa Kuliko Wasanii Wote, si hata nyie wenyewe mnaona 😄👇
11/12/2025
Kaka mimi ni kijana wa kiume, umri wangu ni miaka 28 Kwa Sasa.
Mimi Niko kwenye uchumba huu ni mwaka wa pili, mwezi wa nane nimetoka kumlipia mahari mchumba wangu, hivyo tumepanga mwezi wa tatu mwakani tufunge ndoa kanisani.
Sasa bwana, mwezi ulio pita kwenye kuchati nikajaribu kumuomba nyuma mchumba wangu, kitu Cha kushangaza alikubali nikamwambia basi sawa tutafanya, ila lengo langu Mimi ilikuwa ni kumtega tu.
Kilicho fanya na Mimi nije kwako ni hivi, Jana nilishinda naye nyumbani kwangu mana sikwenda kazini, tulifanya Kila kitu na tulisex k**a kawaida, Sasa usiku akiwa amesharudi kwao tukiwa tuna chat akaniuliza, kwanini hunifanyi kile kitu ulicho niambia mana tumesha fanya mara nyingi toka ulivyo niambia,, Nikamwuliza kitu gani,, alizunguka mwisho akaniambia,
Kitu kilicho nishangaza yeye ananisisitiza yuko tayari kufanya anaomba tujaribu, Mimi nilivyoona anasisitiza ikabidi nimwambie ukweli kuwa nilikuwa namtania, huwezi amini kakasirika Sana na ameomba uchumba uvunjike na pesa ya mahari tuliyo toa turudishiwe, Mimi nilijua ni utani ila dada yake kanipigia na simu kunijulisha kuwa mdogo wake kaahirisha hataki ndoa na nimeambiwa pesa yetu tuifuate jumamosi.
Kaka mpaka muda huu navyo kuambia nimeblokiwa Kila sehemu yani, nashindwa kuelewa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |