TSCA

TSCA

Share

Education and services

08/08/2021

Kuna aina nyingi sana za ndizi, na kilimo chake kinatofautiana kutoka na sehemu moja hadi nyingine, mfano mzuri kilimo cha ndizi mkoani kagera na kilimo hicho mkoani Kilimanjaro, tuambie ni aina ipi ya ndizi unayoifahamu , na toka mkoa gani?

12/01/2021

Viazi Lishe vinamanufaa makubwa sana kwa mwili wa mwanadamu machache kati ya hayo ni-
* Chanzo cha madini ya chuma (potassium na kalssium)
*Chanzo vitamini A, B, C na D.
*Huboresha afya ya mtoto aliye tumboni kwa Mama.

Photos from TSCA's post 29/12/2020

FAHAMU ZAIDI KUHUSU MAHARAGE LISHE

Maharage lishe ni mbegu bora inauwezo wa kumea katika mazingira yeyote k**a ukizingatia sehemu husika k**a kuna maji sehemu ya uwazi na udongo
Kilimo cha maharage inategemeana na sehemu kuna mbegu nyingine ukipanda mavuno yake ni hafifu na muda mwingine usipate
Hii ni kulingana na aina ya udongo
Pia udongo ni mojawapo ya kitu cha kuzingatia kabla ya kupanda maharage
Leo nataka tuangazie kuhusu maharage lishe
Ni aina ya mbegu ya maharage ambayo ina mavuno mengi na inastawahi katika mazingira yenye wastani ya mvua na jotoridi ya kawaida.

Haishambuliwi na magonjwa na wadudu kwa haraka.

Faida yake ni yapi.
Kwa wamama wajawazito inawazaidia kupata madini ya chuma na zink pindi mama anabeba mimba anashauriwa kutumia maharage lishe kwa ajili ya madini ya chuma.
Maharage lishe pia ni protini
Inaongeza mbolea shambani sehemu k**a shamba lina kiwango kidogo cha mbolea ukipanda maharage inaongeza kiwango cha
mbolea shambani.

Maharage lishe soko ni la uhakika kila siku uhitaji wa maharage inahitajika.
Ukizingatia kilimo cha kisasa katika heka moja utapata mavuno mengi ukilinganisha na upandaji wa kiholela
Tafiti zinaonyesha kuwa zao la maharage katika Tanzania walio wengi wanaolima ni wanawake kulingana wengi tunalima kwa ajili ya chakula.
Tukiekeza kwenye kilimo cha kisasa cha maharage tutaweza kuuza katika soko la ndani na nje kiwango kikubwa kinahitajika kwa ajili ya lishe.

Mdau wa kilimo hii ni fursa yako unaweza kuanza kidogo nusu heka
Heka moja ama tano au kumi
Usipate shaka ya soko ipo.
Karibu kwa maoni.

Want your school to be the top-listed School/college in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Morogoro