Gele's Farm

Gele's Farm

Share

Tunauza Miche bora ya Matunda ya muda mfupi, Viungo, Miti ya Mbao, Miti ya Kivuli, Kurutubisha Udongo na Maua

19/02/2026

Gele’s Farm tunawashukuru wateja wetu wote kwa kutuamini na kushirikiana nasi mwaka uliopita 2025. Tunajivunia kuwahudumia kwa kuwapatia miche bora ya matunda na maua, yenye ubora wa hali ya juu.

Mwaka 2026, tunawakaribisha tena ili tuendelee kuwahudumia kwa miche bora ya matunda itakayoongeza tija na thamani katika kilimo chenu.

Usisubiri hadi mahitaji yaongezeke nunua sasa na unufaike na bei maalumu za mwanzo wa mwaka.

Kwetu, ubora si kipengele tu, bali ni kiwango cha 10/10.

🌱 Miche ya miembe ikielekea kwa mteja wetu Dodoma 🙌🏾

📞 Wasiliana nasi kupitia Simu/SMS/WhatsApp: +255 655 185 016

Karibu tukuhudumie kwa uaminifu na ubora wa hali ya juu 🙌🏾

Photos from Gele's Farm's post 13/12/2025

Karibuni sana wateja wetu tuwahudumie miche bora ya matunda. Ubora wa miche yetu ni 10/10. Usisubiri kipindi uhitaji ni mkubwa nunua sasa kwa bei ya sikukuu.

Kuelekea kwa mteja Gairo 🙌🏾

Wasiliana nasi kwa Call/SMS/WhatsApp: +255 655 185 016

02/09/2025

🌿 MAANDALIZI YA MAUA NA MITI YA MAPAMBO KUELEKEA ARUSHA 🌿

Tunapenda kuwashukuru wateja wetu wapendwa kwa kutuamini na kutupa sapoti katika huduma zetu. Maandalizi ya maua na miti ya mapambo kuelekea kwa wateja wetu huko Arusha yanaendelea vizuri. Tuna aina nyingi za maua, miti ya mapambo na kivuli.

Tunatoa huduma kwa wateja wa jumla na rejareja, tukiwahudumia kwa ubora wa hali ya juu.

✨ Pendezesha mazingira ya:
- Nyumba yako
- ⁠Shule
- ⁠Sheli
- ⁠Hoteli
Na maeneo mengine na Gele’s Farm

📍 Tunapatikana Mtaa wa Tibaroad, upo ndani ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Morogoro

📦 Tunatuma mikoani kupitia mabasi yaendayo huko.

📞 Wasiliana nasi kupitia Simu / SMS / WhatsApp:
0655 185 016

‎Follow this link to view our catalog on WhatsApp: https://wa.me/c/255655185016

08/03/2025

Mwanamke na Msichana 2025; Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji! Heri ya Siku ya Wanawake Duniani 👐🏼!

Want your business to be the top-listed Jewelery/watch Store in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

TibaRoad
Morogoro