Mwl. Mussa Seleman

Mwl. Mussa Seleman

Share

“I help people start businesses, increase sales, and become effective business leaders.”

18/05/2026

MTEJA ASIPONUNUA

usimchukie Wala usikasilike Bali jiulize kwanini hajanunua wakati umempatia maelekezo sahihi???

kwanini hajanunua wakati umempunguzia bei??

jibu la kwanini litakusaidia kuuza zaidi mbele ya safari.

tukutane mwenye seminar ya Sales Skills tarehe 13/6/2026

21/04/2026

*NI MUHIMU SANA K**A MFANYA BIASHARA...*

Kila siku uwe unapata anagalau wateja wapya 5 mpaka 10.

Maana yake kwa mwaka unauhakika wakuwa na wateja wapya 1500 mpaka 3650

Hapo ndio utakuwa na uhai wa biashara.

Ukiona siku imepita haujapata mteja mpya.....hatak**a umeuza sana siku hiyo ujue Kuna hasara.

Unajua kwanini???

Kwasababu hao wateja ulionao Leo muda wowote wanaweza kukuhama.

*Mteja anatafuta suluhisho na unafuu kwakwe*

Chukulia mfano: k**a kunabidhaa au huduma kwako anaipata Kwa TSH 10,000/=
Siku akipata anayeuza huduma hiyo hiyo Kwa TSH 9500/= huyo anakuhama ingawa siyo wote lakini asilimia kubwa wapo hivo.

Sasa ili wewe usiyumbe kwenye biashara Yako.....dawa siyo kung'ang'ania wateja haohao mpaka siku ukisikia amenunua kwa jirani unamchukiaaaaa🙃

Nooo Mteja anatafuta unafuu wakati wewe unatafuta faida🤷‍♂️

*ONGEZA BIDII KUPATA WATEJA WAPYA KILA SIKU*

njia ni rahisi sana. Tumia *word of mouth* au *Running Ads online*
Nihivo tu🤝

*Je unahitaji msaada zaidi kwenye Hilo?*
📞 0756476874

Want your business to be the top-listed Business in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

MOROGORO
Morogoro