tvImaantz
Elimu Bila Mipaka
06/07/2026
Shule ya Sekondari ya Forest Hill, inayomilikiwa na Taasisi ya The Islamic Foundation iliyopo mkoani Morogoro, imezidi kufanya vizuri katika matokeo ya Kidato cha sita baada ya wanafunzi wake wote kufaulu mtihani huo wa taifa.
Kati ya wanafunzi waliohitimu, 49 wamepata Daraja la Kwanza, 12 Daraja la Pili na wawili Daraja la Tatu, huku shule hiyo ikiwa haikupata mwanafunzi aliyepata Daraja la Nne wala Sifuri.
05/07/2026
Surah Al - Mu’minun || Ayah 109
Want your business to be the top-listed Media Company in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Morogoro