AFYAuniverse
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYAuniverse, Health & Wellness Website, MASIKA, Morogoro.
SHUHUDA:MIAKA 3 YA MIHANGAIKO YA STROKE SIKILIZA JINSI ALIVYOSAIDIKA KUPITIA VIRUTUBISHO VYETU ,HAKIKA MUNGU NI MWEMA
Ukituhitaji usisite kututafuta 0766885636 au WhatsApp
https://wa.me/255766885636?text=Nahitaji%20kujua%20kuhusu%20stroke%20please??
21/04/2020
DONDOO :MBEGU ZA PARACHICHI NA VIDONDA VYA TUMBO.Watu hula upande wa' nyama' wa parachichi na bila pingamizi lolote wanapata faida kubwa kutoka kwenye tunda hilo!
Sio upande huo tu ndio unafaida hata mbegu (kokwa ) la parachichi linafaida nyingi sana moja wapo nikuweza kusaidia kutibu vidonda vya tumbo.. maandaliz ya dawa?
1.Chukua Yale makokwa (mbegu za Kati)za parachichi 4 -5 zikatekate vipande vidogo dogo vyakutosha
2.viaanike katika jus zuri kwa muda wa masaa ziondokane na unyevu K**a una oven ..ziweke kweny joto la Kati ya 125-250 °F..kwa muda wa dakika 15
3.saga mbegu ulizokausha kwakutimia blender au kinu mpaka zisagike na kua unga unga
4 .changanya unga huo kwenye maziwa fresh ya ngombe kwa kipimo Cha wastani wa vijiko 2-3 kwa glass moja ya maziwa
5.Kunywa kinywaji hichi kwa muda wa kuanzia wiki 3 -12
N.B:katika kutoa uchafu mwilini unaweza harisha siku za mwanzo .usiogope
HII NI TIBA NZUR SANA..UNAWEZA NITAFUTA KWA 0766885636 K**A NI TATIZO SUGU
07/04/2020
DONDOO: leo ni siku ya kipekeee sana duniani kwani ni siku ya AFYA DUNIANI NA DUNIA KWA SASA IPO KWENYE JANGA LA COVID19 naomba tuendelee kuchukuaa tahadhari kwan ugonjwa huu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Culinary Team
Attire
Contact the practice
Telephone
Website
Address
Morogoro