Woodprint Home Collection
Tunauza Mashuka|Pazia|Duvets|Blankets|Home&Office Decor|Rugs n.k
Tunachezesha Michezo ya Vitu/Bidhaa
MZIGO MPYA WA PAZIA, MALI SAFI 🔥
Pazia pair moja 👉 40000 (zinakua mbili)
Pazia pair moja na lesi yake 👉 50,000
Lesi peke yake 👉 15000
Hizi pazia nzuri hadi nzuri tena jamani 😍🙌 nzito na kubwa 👉 upana ni mita 1.5 na urefu ni mita 3. Maua yake hayana kelele kabisa, yametulia na yanapendezesha nyumba..
Tunapatikana Kimara Stop Over
Call/Whatsapp: 0769 375 253
21/11/2025
Foronya na mito mizuri sana, size 45*45 cm. Bei 👉 12000, foronya pekee ni 6000 tu. Pendezesha nyumba yako kwa bidhaa bora kutoka kwetu.
☎️ Call/Whatsapp: +255 769 375 253
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.
Mchezo wa mashuka/duvets/pazia upo,ni 5000 tu kila jumamosi Cc:
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Morogoro
67115
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| Tuesday | 08:00 - 20:00 |
| Wednesday | 08:00 - 20:00 |
| Thursday | 08:00 - 20:00 |
| Friday | 08:00 - 20:00 |
| Saturday | 08:00 - 20:00 |