Neyh Health Tips
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Neyh Health Tips, Health/Beauty, Ifakara, Morogoro.
01/09/2025
P.I.D (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE )
Pid ni nini?👇🏻
Ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke ambayo huhusisha maambukizi kwenye shingo ya kizaz (ENDOMETRITIS)na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)
*DALILI ZA PID
➡️kutokws uchafu sehemu za siri yaweza ukawa wa njano,mweupe,kahawia au maziwa
➡️uke kutoa harufu mbaya
➡️kuwashwa sehemu za siri
➡️maumivu ya tumbo chini ya kitovu
➡️maumivu wakati wa tendo la ndoa
➡️uke kuwa mkavu
➡️kvurugika kwa hedhi (hormone imbalance)
➡️kutokws maji maji ukeni kupita kiasi
➡️Maumivu wakati wa kukojoa
➡️homa,uchovu, kizungu zungu
❌MADHARA YA P.I.D
🦠nyonga kuuma mara kwa mara,tumbo kuuma baad ya tendo la ndoa au kipindi cha upevushajo mayai.hali hii hutokana na majeraha yaliyopo katika mirija ya uzazi
🦠ugumba
🦠cancer ya shingo ya kizazi
Uzazi safi na salama ndio suluhisho lako
Haijalishi umeshatumia madawa mengi bila kupona
Tiba ya uhakika ipo hapa
0785234376 whatsap
0785234376 piga
Kwa ushaur na tiba
health tips
health tips
health tips
Mikoa yote
# tuitokomeze pid # sugu # fangasi # # miwasho
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Morogoro