KLM TRIP CLUB

KLM TRIP CLUB

Share

Tunaandaa Luxury Trips ndani na nje ya Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha, Manyara & Tanga)

20/07/2025

🌞 Asubuhi Njema KLM Family & Friends! 💫
Leo ni Jumapili ya tarehe 20 July — siku ya utulivu, tafakari na kupumzisha akili kwa furaha halali 🌿

Weekend bado inaendelea, hivyo tumia muda huu kujipa nafasi ya kupumua, kusikiliza nafsi yako na kukumbuka kuwa maisha si kukimbizana tu... bali ni kutengeneza moments za kweli. 💭✨

🚌🔥 Na k**a hujui bado... inakuja tarehe 10 August!
Sehemu pekee ambapo tunakusanya vibe, furaha, watu wapya na mazingira ya kupumzika bila pressure! stay tuned kwa maelezo zaidi!

Enjoy Jumapili yako – and remember... safari sio tukio, ni lifestyle. 🌍❤️

Telephone

Website