Make money
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Make money, Moshi.
16/05/2019
CHOLEDUZ
Ni kifupisho cha CHOLESTEROL REDUCER, Cholesteral ni mafuta, mafuta ambayo yanaziba mishipa ya damu hivo damu kushindwa kusambaza damu sehemu mbalimbali za mwili. Ndio chanzo cha MAGONJWA YA MOYO, PRESHA,MIGUU KUFA GANZI, MATATIZO YA MACHO, KUPOTEZA KUMBUKUMBU, SHAMBULIO LA MOYO, ANGINA n.k
Imetengenezwa kwa;
🐋Mafuta ya samaki maarufu K**a Tina na sadina kutoka katika Vina virefu vya bahari.
🧠DHA
-Docosahexanoic Acid
Kazi yake ni kusaidia Kazi na ukuuaji mzuri wa ubongo.
🌿Vitamin A
Hii husaidia kwa kiasi kikubwa afya ya macho.
🍒EPA (Ecopentanoic Acid)
Hii husaidia kuondoa mafuta mabaya miilini mwetu.
CHOLEDUZ ndo kiboko yao, inaenda kukwangua mafuta hayo na kusaidia damu kuzunguka vizuri na kuweza kufika sehemu mbalimbali za mwili.
"BIDHAA HII INASHAURIWA ITUMIWE NA KILA MMOJA WETU, TUSISUBIRI TUZIDIWE"
Kinga ni bora kuliko tiba
Click here to claim your Sponsored Listing.