Sports extra large
Sports bar πͺπͺπ
14/01/2025
Kwenye viwango vya timu bora barani Afrika chini ya CAF, Yanga wana alama 34 mpaka sasa na ikitokea Yanga wamefuzu kwenda robo fainali watafikisha alama 39 na kuzishusha timu 2 kwenye top 10 ya CAF. Na ikitokea Yanga wamefika nusu basi wataingia 5 bora ya CAF. Misimu 3 ya KIBABE.
06/01/2025
Kimahesabu Ya Yanga ni kushinda mechi mbili zilizobaki ila Kuna Ugumu mkubwa Sana nauona,,,,na Huenda yakajirudia Yale ya CR BELOUZIDAD,,,,Maana Yangu ni Hii,,,,,,
MC Algeria ana Point 5 endapo atashinda Mechi ijayo na Mazembe atakuwa na Point 8,,,,,,,,,,,
Yanga Akicheza na Al Hilal ikitokea Yanga kapata Sare Atakuwa na Point 5,,,,,
Mechi ya Mwisho itakuwa Benjamin Mkapa,,,,ambapo Yanga ataingia Uwanjan akiwa na Point 5 hivyo atatakiwa Kumfunga MC Algeria Goli 3_0 atakuwa ikitokea Hivyo Yanga Kafuzu ila Kikubwa ni Mechi ya Al hilal tusipoteze Tupate Point la Sio Tatu Bas Moja Alaf mechi ya mwisho,,,,,,Iwe Afe kipa Afe Beki MC Algeria Afungwe Chuma 3-0
Wengi mnasema Al Hilal anafungika kwake ila sio Rahisi k**a wengi mnavyofikiria,,,,,Jamaa Wapo vzr sana nadhan mpka hapo Kuna watu wamenielewa k**a Sio point Tatu bas tupate Moja π
Huenda yakajirudia Yale Yale ya CR BELOUZIDAD,,,,,kwamba Head to Head itaamua
ποΈSpSports extra large
04/01/2025
ππ₯πππππ‘π π‘ππͺπ¦: ππππ ππ‘π§ π ππππ ππ¨π©ππ ππͺπ π‘π π ππ¦ππππππ πͺπ π¬ππ‘ππ π¦π
Mashabiki na Wanachama wa Yanga waishio Jijini Dar ea Salaam, wamekubaliana kuwa siku ya kesho wanaenda kuvamia Duka la Mchezaji wao Clement Mzize lililopo Sinza ili Kununua Mzigo wote uliopo Dukani na kuacha Duka likiwa Tupu.
Click here to claim your Sponsored Listing.