Officialkalezu

Officialkalezu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Officialkalezu, Grocers, [email protected], .

21/06/2022

Mtu aliyezoa kupewa ana lawama nyingi kuliko aliyezoa kutoa!..
Jifunze kuwa mtoaji mzuri, hutolaumu watu,
Na utapunguza matarijio makubwa kutoka kwa watu wengine

13/06/2022

Rafiki mzuri ni yule mwenye uwezo wa kutaja jina lako kwenye chumba cha fursa
Urafiki sio kuitana twin, shost, frend,msela, homeboy, damu yangu sijui blood....?
Good morning

12/06/2022

Wachambuzi wa mchongo na wao hawapo mbali
Sana usajili

Website