Vituko
Refresh mind
Nikiwa na shilingi laki moja mfukoni pale kariakoo kila mtu namuona ni mwizi tu
Sijui ni kwann
Shetani ni kiumbe wa ajabu sana
Anakufanya umtongoze mke wamtu
Alafu ukifumaniwa anakugeuka anahamia Kwa mwenye mke anamtia hasira ili akudunde adi utokwe manundu
04/02/2019
The fastest way of communication is
*Television
*Telephone
*Tell a women
and if you want it faster tell her not to tell any one
Uchawi ni pale tu unapokutana kwa bahat mbaya na Mpenzi wako wa mtandaoni alaf umevaa Shati lile lile ulilovaa kweny profile picha yako
Habari zenu ma fans,nahitaji assistant admin kwa hii page,so kwa yeyote alietayali acoment hapo alaf mim nitam add awe admin
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza