Chemsha BONGO

Chemsha BONGO

Share

PATA HABARI MBALIMBALI MICHEZO, VICHEKESHO,VITUKO n.k

05/03/2026

MICHEZO; Baada ya dabi kali kati ya Simba SC na Young Africans SC, nyota wa Simba Innocent Loemba ameonyesha moyo wa sportsmanship kupitia Insta Story yake.

Loemba amemuomba radhi beki wa Yanga Dickson Job kufuatia tukio lililotokea wakati wa mchezo huo. Kupitia ujumbe wake aliandika: โ€œI compatible with you ๐Ÿ™๐Ÿ™โ€, ujumbe unaoweza kufasiriwa kwa Kiswahili k**a โ€œNinakuelewa / nakuonea huruma na niko pamoja na wewe.โ€

Kitendo hicho kinaonyesha heshima na utu kati ya wachezaji licha ya ushindani mkali uliopo kati ya Simba na Yanga. Mashabiki wengi wamepongeza hatua hiyo ya Loemba kuonyesha upendo na kujali mchezaji mwenzake baada ya tukio hilo uwanjani.

05/03/2026

SIKU YA KWANZA KUFANYA MAPENZI ULIKUA NA UMRI GANI๐Ÿ˜›

05/03/2026

Toooop ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽผ score๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ

Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00