HealthyLife Solutions
NAWASAIDIA WANAUME NA WANAWAKE KUTATUA CHANGAMOTO ZA UZAZI
piga/ Whatsapp+255623191868
KABLA HUJAINGIA MWAKA UNAOFUATA UPATE BARAKA HII+255623191868
HEALTHLIFE SOLUTIONS TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO KUPITIA DHL KWA WALIO NJE NA TANZANIA
+255623191868
PID (Pelvic Inflammatory Disease) isipotibiwa mapema inaweza kusababisha madhara makubwa kwa mwanamke, ikiwa ni pamoja na:👇👇
🔹 Kuziba mirija ya uzazi (fallopian tubes) na kusababisha ugumba.
🔹 Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy), hali ambayo ni hatari kwa maisha
🔹 Maumivu ya nyonga ya muda mrefu (chronic pelvic pain) yanayoweza kudumu kwa miezi au miaka.
🔹 Maambukizi kuenea kwenye viungo vingine vya mwili, na kusababisha hali mbaya zaidi.
🔹 Kuongezeka kwa hatari ya kupata PID tena baada ya kuugua mara moja.
🔹 Kutengeneza usaha (pelvic abscess) kwenye maeneo ya uzazi.
PID si ugonjwa wa kupuuza!
Usipotibiwa mapema unaweza kusababisha ugumba, mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi na maumivu ya nyonga ya muda mrefu. Pata uchunguzi na matibabu mapema ili kulinda afya yako ya uzazi. 💜
SHUHUDA+255623191868
CHUKUA HATUA MAPEMA UNAHATARISHA KIZAZI CHAKO 👇👇+255623191868
01/06/2026
HORMONES IMBALANCE
(UWIANO MBAYA WA HOMONI ZA UZAZI)
HORMONES IMBALANCE;Ni upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaani ESTROGEN HORMONES
*VISABABISHI/VYANZO VYA HORMONES IMBALANCE*
♟️Matumizi ya njia za uzazi wa mpango k**a vidonge,sindano,njiti,kitanzi n.k
♟️U.T.I sugu
♟️Magonjwa ya zinaa k**a kaswende,gonorea n.k
♟️Mlo mbaya/usio kamili
♟️kuugua fangasi ukeni kwa muda mrefu
💦Msongo wa mawazo
*DALILI ZA HORMONES IMBALANCE*
🎯_Siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
🎯_kuto shika mimba
🎯_maumivu ya kiuno,mgongo na tumbo chini ya kitovu
🎯_maumivu ya viungo na uchovu wa mara kwa mara
🎯_kupoteza hamu ya tendo
🎯_maumivu wakat wa tendo
🎯_uke kuwa mkavu
🎯_Kutoka na dam nyeus au mabonge mabonge
🎯_ kutokupata period na angali si mjamzito
*MADHARA YA HORMONES IMBALANCE*
kuto shika mimba
mimba kuharibika mara kwa mara
kupata uvimbe kwenye kizazi
kukaribisha magonjwa katika mfumo wa uzazi
Habari njema ni kwamba kuna suluhisho yaani matibabu,
Karibu Ujipatie tiba mbadala Sasa.
Ushauri na matibabu sahihi
Piga/Whatsap +255623191868
USIPOTEZE TUMAINI. MATATIZO MENGI YA KIAFYA HUPATA UFUMBUZI PALE CHANZO CHAKE KINAPOTAMBULIWA NA KUSHUGHULIKIWA IPASAVYO. KWA UCHUNGUZI SAHIHI NA MATIBABU STAHIKI, UNAWEZA KUCHUKUA HATUA MUHIMU KUELEKEA KATIKA KUBORESHA AFYA YAKO NA KUFIKIA MATOKEO UNAYOYATAMANI.
+255623191868
SHUHUDA 🧑🍼+255623191868
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mwanza