dig.it.with.imani

dig.it.with.imani

Share

Let’s talk About đŸ‘‰Digital Rights &Inclusion, Online Gender Based Violence and Digital Opportunities

26/03/2026

Leo kwenye diwi tunazungumzia jambo ambalo wazazi wengi tunaliona lakini hatulitaji kwa macho:
mtoto anavyoharibikiwa na mtandao kwa sababu tu algorithm inamlisha kila kitu.

Ukiachana nayo, inampeleka anapotaka na mara nyingi anapotaka ni vurugu, uwongo, au vitu vikubwa kuliko umri wake.

Lakini kuna njia. Tunaelezea namna ya kumtengenezea algorithm nyepesi yaani kuanza na akaunti za elimu, na kutumia zana za udhibiti kwa akili.
Sio kumzuia kabisa, bali kumuwekea njia salama ya kutumia mtandao.

08/03/2026

Tenga muda wako na angalia toleo hili maalum ya siku ya wanawake.

Je, dini ina mchango gani katika kupambana na ukatili wa kijinsia na kumuinua mtoto wa k**e na wanawake?

Ni discussion ambayo inasahaulika na haiongelewi, katika episode hii, tumechukua muda wetu kuongelea masuala yote yanayohitaji kuzungumzwa.

Hii ni Dig It With Imani (DIWI) na tunaendelea kuchimba. Usiache kusikiliza/kutazama mupitia chaneli yetu ya YouTube na majukwaa yote ya kidijitali, tafuta Dig It With Imani The Podcast.

20/02/2026

What’s your take đŸ‘€

Tazama episode nzima kwenye YouTube channel ya Dig It With Imani pia sikiliza kupitia majukwaa youte ya kidijitali nk

12/02/2026

inavobadilisha namna ya kuripoti kesi nchini Tanzania.

Kwa zaidi ya miaka 8 ya kukusogezea haki kiganjani mwako wanajivunia haya đŸ”¥

Sikiliza episode nzima kupitia YouTube channel ya Sig It With Imani

DPI

Want your business to be the top-listed Media Company in Njombe?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Magereza Road
Njombe
1086