Patie Mkongo
KWA HABARI ZA KIJAMII, MICHEZO NA BURUDANI #MkongoUpdates
14/02/2024
Kila ifikapo Tarehe 14 mwezi wa pili Dunia inaazimisha siku ya wapendanao.
Mwaka huu imekuwa tofauti kidogo kwa Msalala Tv ambao wamesherehekea na watoto yatima waliopo Shule ya Msingi Bugarama. Msalala Tv wametoa , Sukari,dawa za mswaki na miswaki, Sabuni za vipande na za unga ,Madaftari (peni&penseli) ,Juice, na P**i K**a njia moja yakuwapa tabasamu watoto wetu.
Msalala Tv wameungwa mkono na wadau wamaendeleo ya Jamii, K**a vile HAPPY TALENTS PROMOTION ,KING MAPUNG'O KAMPUNI YA MJASILIA, MASOY ELECTRICAL, ELISHA SPEAR PARTS, MUDYLIZER FASHION na wadau wengine wengi katika kusapoti Jambo hili la kijamii
Tukio hili pia lilipata baraka zote kutoka Serikalini ,ambapo Diwani kata ya Bugarama Bi.Priscah, Mwenyekiti wa Kitongoji Buyange, Afisa Maendeleo kata ya Bugarama Bi.Annah Mwakalinga wote waliudhuria katika tukio hili lakuwapa Furaha watoto wetu chini ya Kauli mbiu "MTOTO WAKO MTOTO WETU".
'o .
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Opening Hours
| 09:00 - 17:00 | |
| 18:00 - 19:00 |