V.K AFYA STUDY

V.K AFYA STUDY

Share

Nawasaidia wanaosumbuliwa na changamoto ya nguvu za kiume

11/12/2022
01/10/2021

DALILI ZA AWALI ZA TEZI DUME

➡️Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara

➡️Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

➡️Kupatwa na ugumu kutoa mkojo

➡️Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu

➡️Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho

➡️Kujichafua wakati wa kukojoa

➡️Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.

➡️Damu kwenye mkojo

➡️Kushindwa kukojoa kabisa.

➡️Kupata mkojo mchache sana

Want your school to be the top-listed School/college in Stone Town?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Stone Town