Zanzibari Yetu
Jukwaa la mawasiliano kwa wapenda habari popote walipo duniani
Karibuni sana kwenye ukurasa huu, tuhabarishane
03/11/2014
Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka http://wp.me/p2Hr2P-4GZ
Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba jana alivamiwa na kikundi cha watu wachache waliohudhuria mdahalo wa Katiba wakati akihoji vitendo vya baadhi ya watu kutumia vibaya jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. [ 401 more words. ]
02/11/2014
Nahodha afunguka Zanzibar http://wp.me/p2Hr2P-4GQ
Nahodha afunguka Zanzibar Zanzibar: Wakati Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), ikitimiza miaka minne, Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha amesema ipo haja ya kuendelea kuwa na umoja huo kwa vile sababu zilizofanya kuundwa kwa Serikali shirikishi ya vyama vya CCM na CUF bado zipo. [ 343 more words. ]
30/10/2014
Pambano la Dk Shein, Maalim Seif limeshaanza http://wp.me/p2Hr2P-4Gv
Pambano la Dk Shein, Maalim Seif limeshaanza Zanzibar. Kabla na baada ya kuandikwa kwa Katiba Inayopendekezwa, wananchi wa Zanzibar wamebaki katika kizungumkuti kupambanua, kupima na kupembua ni nani kati ya Rais, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wake wa Kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad anasema kweli na kustahili kusikilizwa kwa kina cha ufahamu. [ 545 more words. ]
28/10/2014
Mbowe:Ukawa sasa ni mbele kwa mbele http://wp.me/p2Hr2P-4Gk
Mbowe:Ukawa sasa ni mbele kwa mbele Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi. [ 351 more words. ]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
255