Lokoma Tv

Lokoma Tv

Share

Broadcasting & media production company
Officials page For Lokoma Tv Channel

Photos from Lokoma Tv's post 29/03/2026

Staa wa Muziki nchini (African Princess) ametangaza ujio wa wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha mkali wa amapiano Scotts Maphuna Kupitia insta story yake nandy ame-share video ikiwaonesha wanasikiliza ngoma hiyo wakiwa studio na Scotts "My brother its about time" Aliandika Staa wa bongo fleva

Photos from Lokoma Tv's post 29/03/2026

MAREKANI imepata pigo kubwa zaidi baada ya Iran 🇮🇷 kushambulia kambi yao ya Kijeshi iliyopo nchini Saudi Arabia itambulikayo k**a Prince Sultan Airbase na kufanikiwa kuipiga Ndege ya Kivita (Spy Plane) ambapo itagharimu zaidi ya dola Billion Moja kuitengeneza upya huku ikichukua muda mrefu. Sambamba na hilo wamepiga Stratotankers matatu yenye gharama ya dola Million 80 kila moja, Ndege hiyo ya Boeing E-3 kwa mujibu wa ripoti ni kuwa zipo 16 pekee na Mashariki ya kati zipo 40% kati ya hizo hivyo ni hasara kubwa kwa Marekani na pigo kubwa kwenye ulinzi wa anga kwakuwa hutumika kunusa hatari ya Mashambulizi ya anga. Kwa mujibu wa Mtalaam wa Masuala ya Kivita Kelly Grieco anasema hili ndio pigo kubwa zaidi tangu vita imeanza kwakuwa bila AWACS Jeshi la Marekani linapoteza nguvu kwenye ufuatiliaji na kupata cordinates sahihi kwenye uwanja wa vita.

Telephone