Nafula Sharleen
CEO/Mgr/Founder at👉nafulaconnect.com
*🇺🇸WE HOST DVLOTTERY WINNERS IN USA🇺🇸*
* DO NOT SEND MONEY! SCAM ALERT!
Hawa watu hu Lock Profile Facebook mnajionanga sukari sindio?😏Yani uko important that sisi wote tungependa sana kukuona?😂😂
Alafu uni inbox, Utakula Ngumi ya Mgongo wewe!🤣🤣
Wasee shikeni hii Rada🤔Kama unataka kukaa majuu🇺🇸bila Ngori avoid Fraud na Criminal Record, Ustake Jua✌️✌️
05/28/2026
18+ Watoi kaeni mbali na hii post, Ustake Jua!🤦♀️ Ngori hupata Mamorio🇺🇸USA! Unajua mamorio wengi GenZ wanapenda mechi right? So, hao mamorio hukam majuu na damu imechamka kuruka! Boy wakifika wanatafuta mamanzi huku coz mamanzi wa USA mechi hawashikiliangi. Unaeza pata manzi club, unamsho niaje, next thing GenZ umerushwa kwa gari ama kwa kona flani unapiga mechi na msee hujui hata jina yake😂😂
Here is the thing, food ya mayolo huwa na ma hormornes. So Dem wa 16 yrs huku, ako na majegi na mafurbanya za msee wa ma 20’s ama 30’s huko. So wewe ukikutana nao club, unawaza ni dem ako mature. Here is the catch, mamanzi huku wanatarget wasee immigrants wanaopenda story za mechi to feel validated. Unajua huku Rentz wamob wameloose control ya watoi wao teenagers coz well, ukimchapa unaenda ndani right? So madem teenagers huku wako club na place hawafai kuwa coz rentz wame give up nao.
Wewe na kiherehere chako unameet dem Job, club, ama college unaanza kumkatia. Unamtext story za mapenzi then next thing unajipata mechi na mumama kumbe ni mtoi wa 16yrs😂😂
Hapa ndio ngori inaanza. Bro ustake Jua! Huyu dem anaanza kukublackmail. Anakushow ukipiga job every week unampea like $500 ukikataa anakushow atakushtaki. Then hauezi kumdump itabidi ukue kipenzi kilazimishi.
Wewe unajua huku majuu kupiga mechi na dem ako 17yrs and below ni direct jela na deportation! Inabidi ukue slave wa huyu dem. Halafu huyu dem huwa na ma pimp wao. Boy black american anakam anakueka uoga. Anakuongelesha vizungu huelewi, anakuwasha vibare ka mbili hapo, lazima utatii na you stick to the plan😂😂
Kuna chali kutoka ghana ako Jela juu ya hii ngori. Aliamua amechoka na blackmail so dem akifika 21yrs akaamua aruke plan! Hizo text alikuwa akitumia huyo dem akiwa under age ndizo zilimletea ngori. Kumbe vile walikuwa wakipiga Mechi, Dem anamrecord na camera inakaa pen kumbe ni camera😳Mechini, Dem anadai, but you know am still in high school😩mechi imeiva chali anajibu call me teacher miss high school😳
Huku🇺🇸USA, Form ni ukipata Dem majuu, kabla ubonge kitu na yeye muitishe State ID yake! Usikubali college ID, coz hizo huwa wanafake. GenZ ukienda club, kula ngoma, kula hepi, kunywa pombe halafu rudi nyumbani! Shauri yako wewe😂 Diana Bahati Triza Mamake Muraya
🇰🇪Wakenya hata kwa🇺🇸wenyewe tunapenda hepi wueh😂Absolutely Nobody🤔Me and my sisters and brothers I host in New York!🤣🤣Hapa ni kabla sijaanza kunona tena🤦♀️
Click here to claim your Sponsored Listing.