Alain Lucky

Alain Lucky

Share

Ukiwa nawakuku fikisha akuna hutofika so tusaidiane kwakuonesha vipaji
And follow me WhatsApp number
+25761996579👈👈👈

14/04/2025

Mama wa Msanii Diamondplatnumz Mama Mama Dangote ni Miongoni mwa Watu waliofika Temeke Maputo Nyumbani Ulipo misba wa Marehemu Mama Mzazi wa msanii Mejakunta.

Mama Dangote Amesema Kwamba Yeye Hakuwahi Kumfahamu marehemu lakini Kutokana na Kuguswa na Msiba huu lakini Pia Mejakunta_ ni k**a Mtoto wake ameona Hana Budi Kuja Kutoa Pole na Faraja kwa Wafiwa Wote.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Rumonge?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Rumonge
257