Emmanuel Rusaka
Page official | Official page
Personne n'est libre quand les autres sont opprimés, la liberté n'e
01/05/2026
Tuli ba ambiaka depuis zamani que AFC = Kabila, muka sema minig.
Leo ana kuwa hors-jeu
16/12/2025
Muungano wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23) umechukua uamuzi mzito kwa kutangaza ku toka kwa upande moya wa majeshi yake kutoka Uvira, hatua muhimu ya kuunga mkono mchakato wa amani wa Doha. Kujiondoa huku kunalenga kujenga imani inayohitajika ili mazungumzo yaweze kufanikiwa.
Hata hivyo, AFC/M23 imeweka masharti ya kujiondoa huku: kuwepo kwa dhamana thabiti za usalama kwa raia, kuondolewa kwa wanajeshi wote ndani ya mji (demilitarisation ya mji), na usimamizi huru na wa upande wowote wa usitishaji mapigano.
Hatua hii inaonyesha ugumu wa jitihada za amani mashariki mwa DRC, ambako migogoro ya kijeshi, maslahi ya kikanda na shinikizo la kidiplomasia la kimataifa vinaingiliana.
Wakati Washington inaonya dhidi ya kuingilia mambo kutoka nje na inadai kuheshimiwa kwa makubaliano ya amani, hali ya Uvira bado ni mtihani mkubwa kwa uthabiti wa eneo la Maziwa Makuu.
Kwa Wakongomani na diaspora wanaofuatilia kwa karibu matukio haya, kipindi hiki ni dhaifu lakini pia kina matumaini katika harakati za kutafuta amani ya kudumu.
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Type
Site Web
Adresse
Bukavu