ASBI AMANI

ASBI AMANI

Partager

Asbi Amani jeune amusant, conseiller, éducateur

09/01/2023

Abonnez-vous sur la page svp 🙏🏽

◖USIKATE TAMAA◗

✴️*Tukiwa bado tupo mwanzoni mwa* mwaka

*Inawezekana kabisa umeunza mwaka na*

👉Madeni

👉Hasara

👉Kukataliwa

👉Kunyanyaswa

👉Misiba n.k

☸️*Bado unanafasi ya kubadilisha magumu unayoyapitia* yakawa darasa la wewe kujifunza na kusonga mbele.

*✡️Inauma kupitia changamoto, ila ili kupima uvumilivu* na ushujaa wako Ni lazima upitie vipindi vigumu.

✅*Komaa, pambana, kaza, jitume kwa* nguvu, moyo na akili zako zote.

*✍️Penye nia pana njia, utumwa ulionao unaweza kabisa* kubadilika na kuwa utawala.

*✅Nelson Mandela alikuwa mfungwa kwa miaka 27,* mwaka wa 28 akawa Rais na mtu ambaye watu wengi walitamani kuwa K**a yeye.

🟥Usipoteze Tumaini kwenye maisha* hata siku moja

Abonnez-vous à la page svp

16/09/2022

🇮 🇳 🇦 🇼 🇪 🇿 🇪 🇰 🇦 🇳 🇦
━━━━━━(𝐄𝐩𝐢𝐬𝐨𝐝𝐞 𝟏)━━━━━━━

Kabla hatujaanza wiki mpya,nataka kukuambia kuwa INAWEZEKANA.....

INAWEZEKANA kabisa kutimiza malengo uliyojiwekea wiki ijayo/Mwezi huu/ mwaka huu...

INAWEZEKANA kabisa endapo utaendelea kuamini INAWEZEKANA na kuendelea kupambana kuyaelekea malengo uliyojiwekea licha ya vikwazo na changamoto nyingi unazozipitia...

Haijalishi watu gani na wangapi wamekuambia haiwezekani...

Haijalishi ni jinsi gani tafiti zinaonyesha watu wakifika hatua k**a uliyonayo wewe hawawezi tena kufanikiwa.....

Haijalishi wajuzi na wabobezi wangapi wamekuambia kwa uzoefu wao haijawahi kutokea mtu akafanikiwa kwa kufanya jambo

unalolifanya...

Haijalishi watabiri wangapi mahiri wametabiri kufeli kwako...

INAWEZEKANA K**A UTAENDELEA KUAMINI INAWEZEKANA NA KUPIGANA KILA SIKU KUYAELEKEA MALENGO YAKO

Kabla ya May 6 mwaka 1954,Dunia na wabobezi wake wote ilisema haiwezekani mtu kukimbia mile 1 chini ya dakika 4 ila Roger Banister aliamini INAWEZEKANA,Akajinoa zaidi na tarehe hiyo ndipo akauonyesha ulimwengu INAWEZEKANA kwa kukimbia umbali huo chini ya dakika 4,Yeye alikimbia kwa dakika 3 na sekunde 59.4

Nakutakia wiki yenye ushindi,Wiki ya kuvunja rekodi na kuiambia Dunia INAWEZEKANA kupitia kutimiza malengo yako...

🗣️Itaendelea (à suivre...✍🏽)

Vous voulez que votre personnage public soit Personnage Public la plus cotée à Kindu ?
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Type

Téléphone

Adresse


Kindu