Vainlessa.store.com
Divertissement
23/06/2025
Hii leo nakujiya na kazi kubwa ambayo ina uwezo,mashairi,mafunzo ya kipekee sana
kutoka kwa msanii
Na jua uta enjoy basi waiyi ili upate ku burudika kazi iyo ipo kwenye chanel yake ya youtube kupitiya jina la lakini piya kwenye plateforme zote za mziki usisahau ku share ku follow,like https://vm.tiktok.com/ZSkGnp7eC/
.store.com
19/06/2025
Ni mambo makubwa k**a ilivyo jina langu
🔥🔥🔥 eti madereva music, bagressa music wa jipange
kundi la muziki kwa jina la
Ime ahidi ku kosowa pale ambako zengine kundi za uvira
Je awa wa weza ?
Je unazani wata fanya vizuri kuliko ?
.store.com
18/06/2025
Kasoro ma saha 32 / 32h du temps
Kile ambacho tulikisubiriya kwa hamu kinaenda timiya
ep yake msani
Kwa iyo kaa mkao wa kuliya , mjini youtube na plateforme zote
Ww unataka ya ngapi ? Ama aliyo imba nani? Kwenye comenty
.store.com
13/06/2025
k**a ilivyo langu
Ebana leo na kuleteya habari za uyu msanii nguli wa kivu anaye tambulika k**a
Bado mudogo ila ancho kifanya makubwa haswa
Kwa sasa ivi anaishi Burundi ila kazi zake anazifanyiya congo ni C.E.O wa label inayo tambulika kwa jina la label
Ametu ahidi huu mwaka tutarajiye makubwa amboyo hato ya zoweyi kutoka kwake
1 Swali inakujiya unazani atafanya nini?
2 mirror unaye mujua ww unaweza mulinganisha na msanii gani duniani
.store.com
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Type
Site Web
Adresse
Uvira