Msaffi2543
hypeman/Mcee/influencer/Marketer
for bookings 0742807892
07/06/2026
Usisahau kuomba kuna marafiki zako wachawi 💯💯
05/06/2026
Aiya Kwa wadada na wanawake wote Kwa ujumla ambao mmekua mkitamani kuona hii kitu inakuja mtaa wako .. ndo awa sasa wamekuja Yani k**a unataka kukua physically fit, mentally fit, unataka kupunguza msongo wa mawazo ..Yani place NI moja tuh ,apo osotua plazza second floor (hall) loitoktok .. Yani usikae nyumbani na watu wanakutana.. kwa maelezo zaidi communicate kwa iyo number apo chini 💯💯
03/06/2026
Tulikua tunaambiwa education is the key sai tulishatoka shule tunatafta iyo kufuli .. aisee kwani imefichwa wapi!??
Mapigo pori /wild and beats I told you it was something different and something unique 💯❤️🔥
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Kajiado
32