Ris FM

Ris FM

Share

Safina ya burudani

Photos from Ris FM's post 11/09/2024

Ubabe wa nani mkali kati ya wasanii maarufu nchini Bongo Diamond platinumz na kigogo wa bongo fleva Ali kiba utabainika hivi karibuni.Iwapo CrownFm yake Ali kiba iliyozinduliwa machi mwaka huu itaipiku Wasafi FM yake Diamond Platnumz iliyozinduliwa mwakani 2018 miaka sita mbele ya Crown kwenye uungwaji wa wafuasi kwenye mitandao ya kijamii,basi Mfalme wa bongo fleva Ali K atabaki kidedea na kuwa jabali kwenye shughuli zima ya wafuasi yaani 'followers' ndani na nje ya Tanzania.



Mwijaku
Alikiba

Want your business to be the top-listed Media Company in Kericho?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Tengeja Lane
Kericho