Kitale LAW Courts
Bringing justice to your doorstep and enhancing easy access to justice.
Kitale LAW Courts wishes you a happy Mashujaa Day
Hakuna relationship huanza October, huyo anataka Nguo ya Christmas 😂😂😂.
for fun 😊😁
04/09/2025
kitale Principal Magistrate Hon Mary Akalla Ochieng attending Court at the waiting Bay of a Succession matter involving a very elderly woman who can't walk to court for hearing.
07/07/2025
Mahakama ya Kitale imeamuru washukiwa 13 wakiwamo watoto 6 wa kesi ya mauaji waliokamatwa siku ya jumamosi katika eneo Bendera kaunti ya Pokot magharibi kuzuiliwa kwa siku 14 ili kupisha uchunguzi zaidi.
Akitoa uamuzi wake hakimu mkuu wa mahakama hiyo Samwel Mokua ameitaka upande wa mashtaka kufanya hivyo, ikiwamo kuwasilisha mahakamani ripoti ya umri wa watoto hao wanaodaiwa kuwa kati ya umri wa miaka 10-16.
Ikumbukwe washukiwa hao walinaswa baada ya maafisa wa polisi kufanya msako kwenye makaazi yao, kwa kile kinachodaiwa wanahusika na mauaji ya watoto ikiwamo kula nyama ya binadamu na kuficha mabaki kwa kuzika ardhini.
Ni hatua iliyopelekea maandamano makubwa yaliosababisha uaribifu wa mali na kuchomwa kwa nyumba za washukiwa huku wakiponea chupuchupu mikononi mwa maafisa wa polisi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Kitale
30600
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |