Kitale Daily
THE NORTH EAST WEST AND SOUTH OF KITALE CITY
07/10/2025
Kitale ndio Hood yangu...
Mnajua hapa?
11/09/2025
Siku ya jana wakati Mbosso akiendelea kutoa burudani la muziki kwenye tamasha la Simba day. Alisimamisha muziki na kusema kuwa anaomba arudishe heshima kwa kaka yake mmoja ambae alimbariki sana wakati alipochaguliwa kuimba siku hiyo.
Mbosso kwa heshima aliimba wimbo mmoja wa Alikiba ikiwa ni k**a njia moja wapo ya kumrudishia heshima Alikiba.
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Kitale?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Transnzoia
Kitale
30200