Lit Collections

Lit Collections

Share

Apparel & Clothing

29/09/2023

"Wakati mwengine baraka zetu hazijachelewa
Mungu Alishatubariki zamani ila tunazipitaga njiani kila siku maana tunaendeshwa na wivu chuki na majigambo
Ninacho maanisha ni kwamba wakati mwengine yule unayetaka sana kumshusha huenda yeye ndio njia pekee ya mafanikio yako ..
Baraka zinakuja kwa njia tofauti tofauti
Baraka zetu huenda zikapitia ata kwa adui
Ila tunapokosa busara na unyenyekevu tuka baki kudhania kua Mungu Alitusahau
Wakati mwengine . tatizo ni kiburi, Uzushi na ubishi ndio kinacho tutenganisha na baraka zetu .. mafanikio yanaanzia kwenye akill"

Photos from Lit Collections's post 16/04/2023
Want your business to be the top-listed Clothing Store in Nairobi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Nairobi

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 17:00