First Post Kenya
I come With Speed
20/04/2026
Wewe Samuel Okemwa mbona unapanga kuharibu serikali yangu! Matiang’i anakutuma unitusi na upange maandamano lakini hauwezi faulu hapa Kisii. Hapa Kisii ni Tutam na wewe ulisimama senator ukapata kura mbili huwezi nitisha. Matiang’i yako pia ni Notam. Hamutawahi onja uongozi hata kidogo! Simba Arati
20/04/2026
Kesho Tuesday 21st tupatane Motonto shopping center ndio tunaanzia farangati. Mubebe Maji na chupa na bendera ya Kenya. Lazima Ekebeya Arati atuambie pesa za Kisii county zinaendanga wapi. Gen Z Mukik**ata yeye mlete Kisii stadium hobela hobela tumfinyie huko. Samuel Okemwa
19/04/2026
Ruto lazima atueleze Raila alikufa kwa njia gani! Huyu anajifanya malaika na ndiye alikomboa madaktari magaidi wak**aliza Raila huko ndio wakampeleka India. Tumenyamaza kwa mda mrefu na sasa lazima tuongee. James Orengo
17/04/2026
I am goin to be the Deputy president of Kenya in 2027! Mamabo ya Kindiki sisi Hatutambui hapa Kirinyaga. Mimi pekee ndiye natoka mlimani nanaweza pea Ruto kura zote za hapa Mt Kenya. Nimeanza kunguruma sasa. Anne Waiguru
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Nairobi CBD
Nairobi