MTC

MTC

Share

AIC Mwanza Town choir ni kwaya yenye makaxi yake Mwanza Tanzania katika kaniss kuu la AICT Makongoro

04/03/2019

Picha hii tuliipiga na Mch Bugota huko Igombe siku mbili baada ya kuchaguluwa kuwa Askofu.

06/02/2019

Kauli mbiu yetu ni mafanikio yako katika muda

17/12/2018

AIC Mwanza Town katika picha ya pamoja baada ya huduma Makongoro Mwanza 2018

14/12/2018

Hapa ilikuwa mwaka 1988 Mwanza town choir wakiimba Kabarak kwa Rais Mstaafu wa Kenya Mtukufu Daniel Moi

10/12/2018

Kuanzia mwaka kesho 2019 matoleo yetu yote yataanza kupatikana utaweza kuagiza moja kwa moja toka kwa MTC wenyewe. Ambayo ni NJONI TUMWIMBIE, UTAVUNA NA MUNGU KWETU KIMBILIO haya ni ya video. Na mengine mengi ya audio ya zamni na mapya

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Nairobi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Makongoro
Nairobi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00