MindScript ya Mikasi

MindScript ya Mikasi

Share

' Pure Esthetics' ' Akili Maktaba Ya Fikra,

25/03/2025

Tuliumbwa na mungu,

Hatuku-evolve kutoka Kwa nugu vile udhani mzungu,

~ Mikasi ;-

24/11/2023

"Bila ulimi mdomo ni shimo mbele ya kichwa,
Ukibrush meno kua careful kile unalishwa...'
,
~Mindscript Ya Mikasi;-

Photos 13/05/2023

Mashairi mahiri

"wanauliza message ni gani,
if Starehe ya Smoker ni moshi ya fegi au bangi,
nika Clock iki ka kwa ngozi ya Ngombe,
magonjwa huwa patient ka foot steps za mzee Kobe,
drug addict na sura ya mbuzi,
anachew black out na ye ni mapengo,
Chezea mbuzi guitar ukikosa mafans,
uwache maPagan waki speak in tongues,
chongo anatumia Binoculars kuona future,
sa zile Past inaskiza ngoma za Future,
ati moshi ya bangi ni muhimu kuliko ya ujana?,
God niTrain nikue ka gari ya moshi,
~Mikasi;-

15/08/2022

bado hauta gain her trust ata bei ya condom ikishuka,
~Mikasi:-

Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment in Nairobi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Chuom 11
Nairobi
00100