Willy

Willy

Share

W***y fashion ni fashion zote za k**e kiumeme

28/03/2020

Nilipoiona hii picha imenifanya nikajifunza mambo mengi sana moja wapo ni hili

Majira ya Mungu yakifika hakuna kinachoweza kumzuia maana yeye hafungwi na muda

Ninakutia moyo usiangalie muda uliokaa kwenye hilo jaribu ,wala usitazame ukubwa DA hilo jaribu

Majira ya Mungu yakifika muda hauwezi kumzuia Mungu na nimekuombea Mungu akakuvushe hapo,Mungu akakukumbuke na wewe katika jina la Yesu

K**a unaamini comment "Bwana nikumbuke na mimi umetenda kwa wengi tenda na kwangu pia" kisha hubiri pamoja nami kwa kushare ujumbe huu na Mungu atakubariki

Usiache kutushirikisha juu ya pito lako ili tusimame na wewe kimaombi mpaka Mungu akuvushe hapo

Photos from W***y's post 08/02/2020

W***y shipping,+254707089636

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Ruai?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Ruai