BWorld Tv

BWorld Tv

Share

Ukurasa huu ni kwa ajili ya kupashana habari zote za ulimwengu, kubadilishana fikra na majadiliano kw

18/11/2022

Katika kuendeleza vita vya mahasimu wa Kirusi na Marekani mapema Wadukuzi wa Kirusi (KILLNET HACKERS) Wamedukua tovuti ya Ikulu ya Marekani (WhiteHouse). Wadukuzi hao walifanikiwa kuchunguza baadhi ya nyaraka za SIRI za Ofisi Ya Rais wa Marekani (Tovuti hiyo ilipotea kwa muda wa dakika kadhaa).

11/07/2022

Waandamanaji wamesema wataendelea kubaki katika Makazi ya Rais na Waziri Mkuu hadi Viongozi hao watakapojiuzulu rasmi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Nchi hiyo, Rais Gotabaya Rajapaksa atajiuzulu Julai 13, 2022

Rais Rajapaksa hajaonekana na hakutoa kauli ya kujiuzulu mwenyewe moja kwa moja. Baadhi ya Ripoti zinadai yupo katika Meli ya Kijeshi

Utulivu umeonekana kurejea katika Mji Mkuu wa Colombo. Baadhi ya Maafisa wa Vyombo vya Usalama wenye silaha wameonekana nje ya Makazi ya Rais, lakini hawajazuia Wananchi kuingia

Vyanzo vya kijeshi vinasema kwamna Rais kwa sasa yuko kwenye meli ya Wanamaji katika maji ya Sri Lanka.
Kaka yake, Waziri Mkuu wa zamani Mahinda Rajapaksa, yuko kwenye kambi ya wanamaji nchini humo, duru zinasema.
Maelfu walifika Colombo Jumamosi wakimtaka ajiuzulu baada ya miezi kadhaa ya maandamano.

Rais amelaumiwa kwa usimamizi mbaya wa uchumi wa nchi, ambao umesababisha uhaba wa chakula, mafuta na dawa kwa miezi kadhaa.
Waziri Mkuu wa sasa Ranil Wickremesinghe pia alisema atajiuzulu kufuatia maandamano ya Jumamosi, ambapo makazi yake ya binafsi yalichomwa moto.

13/05/2022

GOOGLE katika tangazo la Aprili, Google iliongeza aina mpya za taarifa ambazo unaweza kuomba ziondolewe ikiwa ni pamoja na
https://bworldnews.com/index.php/2022/05/13/google-kuruhusu-kufuta-taarifa/

13/05/2022

Habari zilizogonga vichwa vya Magazeti leo May 13, 2022. Fungua linkšŸ‘‡kusoma habari kamili
https://bworldnews.com/index.php/2022/05/13/habari-zilizogonga-vichwa-vya-magazeti-leo-may-13-2022/

08/05/2022

KUPITIA ukurasa wake wa Instagram September 2021, tajiri kijana anayemiliki maduka ya nguo Dar es Salaam na mikoa yote, ameshare story yake na rafiki yake kipenzi Frank Knows Wakali kutoka Too much Money......soma hii itafungua akili yako, bonyeza link hapo chini

https://bworldnews.com/index.php/2022/05/08/urafi-wenye-wivu-na-ubinafsi-hauna-faida/

Want your business to be the top-listed Media Company in Colombo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Colombo