ditto.bm.studio

ditto.bm.studio

Udostępnij

Dane kontaktowe, mapa i wskazówki, formularz kontaktowy, godziny otwarcia, usługi, oceny, zdjęcia, filmy i ogłoszenia od ditto.bm.studio, Kino, Al. Warszawska 150, Lublin.

23/04/2026

SWAHILI
Fumbua fumbo la kijiji cha ajabu kilichopo huko Marekani ya kati, ambacho kila mtu akiingia anajikuta amekwama humo. Wale wanaoishi humo bila kupenda wanajitahidi kuendelea na maisha yao ya kila siku k**a kawaida, huku wakisaka New Season 2026
:
Tittle: From
:
Season 04 (Episodes 01)
:
Status: Ongoing
:
Genres: Drama, Horror, Mystery, Sci-fi, Thriller
:
Country Of Origin: United States
:
Rate: 7.8/10
:
STORYLINE  
Unravel the mystery of a nightmarish town in middle America that traps all those who enter. As the unwilling residents fight to keep a sense of normalcy and search for a way out, they must also survive the threats of the surrounding forest - including the terrifying creatures that come out when the sun goes down.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

SWAHILI
Fumbua fumbo la kijiji cha ajabu kilichopo huko Marekani ya kati, ambacho kila mtu akiingia anajikuta amekwama humo. Wale wanaoishi humo bila kupenda wanajitahidi kuendelea na maisha yao ya kila siku k**a kawaida, huku wakisaka njia ya kutoka. Lakini si rahisi, wanalazimika pia kukabiliana na hatari za pori linalowazunguka, hasa wale viumbe wa kutisha wanaoibuka usiku jua linapozama.
▃▃▃▃▃▃DM▃▃▃▃▃▃ ya kutoka. Lakini si rahisi, wanalazimika pia kukabiliana na hatari za pori linalowazunguka, hasa wale viumbe wa kutisha wanaoibuka usiku jua

20/04/2026

🙃🙃🫠

19/04/2026

New Movie 2026:
:
Title: Ballistic
:
Genres: Thriller
:
Country Of Origin: United States 🇺🇸
:
Rate: 7.1/10
:
STORYLINE 
A mother who works for an ammunition manufacturing company finds out she made the bullet that killed her son.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

SWAHILI
Mama anayefanya kazi kiwandani kutengeneza risasi anakuja kugundua kuwa ile risasi iliyomuua mwanawe, ni yeye mwenyewe aliyeitengeneza. @

19/04/2026

New Movie 2026:
:
Title: Charlie the Wonderdog
:
Genres: Animation, Comedy, Family
:
Country Of Origin: Canada 🇨🇦
:
Rate: 5.6/10
:
STORYLINE
A dog gains superpowers after he is abducted by aliens. Together, they battle an evil cat threatening humanity while the dog becomes a famous superhero.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

SWAHILI
Mbwa mmoja anapata nguvu za ajabu baada ya kutekwa nyara na viumbe wa angani. Kwa pamoja, wanapambana na paka mwovu anayehatarisha ubinadamu, huku mbwa huyo akigeuka kuwa shujaa maarufu

Chcesz aby twoja firma była na górze listy Sztuka I Rozrywka w Lublin?
Kliknij tutaj, aby odebrać Sponsorowane Ogłoszenie.

Kategoria

Strona Internetowa

Adres


Al. Warszawska 150
Lublin
20-824