Doluka Training College - DTC

Doluka Training College - DTC

Share

Doluka Training Institute is the Institute which offer different certificates and diploma courses

21/04/2025

Habari za leo wapendwa wetu, Ninawataarifu kesho masomo yanaanza K**a Kawaida, kwa wale wanaohitaji kujiunga na Masomo muhula mpya online na Chuoni moja kwa moja unaweza kuingia Google kupitia DOLUKA COMPANY LIMITED, kisha chagua kozi yako hapo, kwa Mawasiliano zaidi tupigie simu +255 785 241 032/+255 755 646 810

Photos from Doluka Training College - DTC's post 13/04/2025

Usipate shida tena kuwaza utasomaje huku muda wote wa mchana unashinda kazini jiunge sasa na chuo Cha DOLUKA TRAINING INSTITUTE-DTI, ili uanze masomo yako kwa njia ya mtandao leo, kuchagua kozi uipendayo ingia Google kwa kuandika neno "DOLUKA COMPANY LIMITED" utaona Blog ya chuo ifunguwe na chagua kozi kisha wasiliana nasi kwa: Simu namba ±255 785 241 032/+255 755 646 810.
Email: [email protected].
Blog: DOLUKA COMPANY LIMITED.

12/04/2025

Karibu ujiunge na Chuo chetu kwa masomo ya mtandaoni na Chuoni, kozi zitolewazo ni Hotel Management, Tourism and Tour Guide, Tour Operations Computer Applications na nyingine nyingi ili kuona kozi zote ingia Google kwa kuandika DOLUKA COMPANY LIMITED utaona Blog yetu hapo. Mawasiliano, simu namba +255 785 241 032/+255 755 646 810.
Email: [email protected].
Blog: DOLUKA COMPANY LIMITED, for more details.
NB: Tunapokea wanafunzi kuanzia darasa la saba, Form Four, Form six na kadhalika.

02/03/2025

Kutana na wataalamu wa Kozi za Tour Operations, Tour Guide and Tourism, Hotel Management, Accountancy pamoja Lugha za Kigeni. Wasiliana nao au fika ofisini Arusha Mianzini Mataa/ Oljoro simu namba: 0755646810/0785241032. Hawa ni ma Consultant waliobobea katika chuo mahiri chenye Muda wa miaka sita sasa nchini Tanzania.

20/02/2025

Bongo Zozo Hello dear friend, ninaitwa Pius Kusekwa Elias ninakaa Arusha Tanzania, ninaomba tuwasiliane Kuna Jambo la kukuambia, +255 755 646 810 Available in WhatsApp. Thanks.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


OLJORO
Arusha