jeremiahafya

jeremiahafya

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from jeremiahafya, Medical and health, Arusha.

20/08/2022

*TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)*

Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote.

NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

1: UMRI MKUBWA
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali k**a miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

2: KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana k**a miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

3: DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia

*TIBA YA GANZI*

▶️ MICRO2CYCLE

• Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara.

• Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili.

• Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi.

• Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri.

▶️ ZAMINOCAL

• Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi k**a ikitumika pamoja na Micro2cycle.

• Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi.

• Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa.

Want your practice to be the top-listed Clinic in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Arusha