arusha_cleaners

arusha_cleaners

Share

TUNATOA HUDUMA ZOTE ZA USAFI
TUNAKUFATA ULIPO
WEKA BOOKING SIKU MOJA KABLA
KUSAFISHA SOGA, NYUMBA NK

02/02/2026

ULISAFISHA HUKUPATA MATOKEO?

Sisi tutakusafishia na Kitakuwa Kizuri zaidi

Vyoo Vingi hasa vya nje vinatelekezwa kwasababu havitumiki mara nyingi, karibu tukusafishie

🚚Ili Kupata Huduma Zetu 👇👇👇

Weka Booking Popote Ulipo Tutakufikia

🚨🚨Bei Tunacharge
sink la kunawa mikono 15000
sink la Kuchuchumaa 25000
sink la kukaa 35000
Choo kizima ni kwanzia 60000 yaani sink pamoja na tiles zake

🔴🔴Namna ilivyo Chafuka na Ukubwa inaweza Kubadili bei🙏🙏

DAWA LITA MOJA NI 15000 ,LITA TANO 50000 ,MKOA WOWOTE UTAPATA TUTAKUTUMIA NA KUKUELEKEZA NAMNA YA KUSAFISHA

NAMBA YETU NI #0621020195
🚨NAMBA YETU NI MOJA TU

☎☎KUNA LINK YA WHATSAPP KWENYE BIO YETU, TUTUMIE PICHA AU VIDEO YA VITU UNATAKA KUSAFISHIWA

Want your business to be the top-listed Cleaning Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Arusha