Green Awareness Club

Green Awareness Club

Share

Award winning Environmental Club that educates and empower communities to conserve Forests and Environment. By @greenawareness.foundation

Photos from Green Awareness Club's post 03/05/2026

Tulifanya, tukajifunza, tukahamasika!
Webinar yetu ya “Vijana na Uchumi wa Kijani” imefanyika kwa mafanikio makubwa LIVE kupitia TikTok pamoja na washiriki waliokuwepo ukumbini FTI Arusha.

Tulijadili fursa za ajira, ubunifu wa kijani, na namna vijana wanavyoweza kugeuza mazingira kuwa chanzo cha kipato. 🌱💼

Tunawashukuru sana wazungumzaji wetu, washiriki wote online na offline kwa mchango wenu mkubwa. Hii si mwisho—ni mwanzo wa hatua mpya!

•Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa “Vol. 2” inayokuja hivi karibuni.
•Usibaki kuwa mtazamaji, kuwa sehemu ya mabadiliko!

Photos from Green Awareness Club's post 26/04/2026

Vijana wakijadili, taifa linajenga kesho bora.

Kupitia mjadala huu, tumeshuhudia nguvu ya mawazo, umoja, na mshikamano katika kutafuta suluhisho endelevu za changamoto za mazingira.

Green Awareness Club tunaamini kuwa ushiriki wa vijana ni chachu ya mabadiliko ya kweli kutoka majadiliano hadi hatua.

Tunawashukuru washiriki wote kwa michango yao yenye tija. Tuendelee kushirikiana kulinda mazingira yetu kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.

25/04/2026

Jiunge nasi kwenye mjadala muhimu wa Mazingira! Utakao wezeshwa na Ali Hamad kutoka

Pata maarifa, changia mawazo, na kuwa sehemu ya suluhisho kwa maendeleo endelevu.

👉 Follow ukurasa wetu sasa na usikose mjadala huu adhimu:
https://www.tiktok.com/.club

25/04/2026

Jiunge nasi kwenye mjadala muhimu wa Mazingira! Utakao wezeshwa na Salima kutoka

Pata maarifa, changia mawazo, na kuwa sehemu ya suluhisho kwa maendeleo endelevu.

👉 Follow ukurasa wetu sasa na usikose mjadala huu adhimu:
https://www.tiktok.com/.club

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Arusha