Saraah Functioning

Saraah Functioning

Share

�NAKUSHAURI KUHUSU AFYA YAKO
�JALI AFYA NA IMARISHA AFYA YAKO SASA
�PUNGUZA KITAMBI, UZITO NA

08/04/2022

Kumlea mtoto katika njia impasayao inagusa hata kwenye afya yake pia, ni huzuni sana kila siku unamlisha mtoto chips tena wa kiume na tayari unajua matokeo yake baadae akikua.
Kuna elimu ambayo tayari unaijua, na changamoto zilizopo kwenye jamii ni vema pia ukiwa mwalimu mzuri kwa watoto wako ili watakapo jitambua na kua watu wazima wasihangaike sana na changamoto zilizopo sasahivi.
Tukumbuke ulaji wa leo ndio matokeo ya miaka kadhaa mbele ya hali za afya zetu Unapenda kufaham zaidi kitu gani kuhusu afya za watoto wetu hasa hawa wa kiume?
KARIBU Tuma neno AFYA DIET whastapp 0717160021

25/03/2022

DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI NI PAMOJA NA:

📌Kukojoa mara kwa mara.
📌Kuhisi kiu sana.
📌Kuhisi njaa sana.
📌Kuhisi uchovu wa mwili na kukosa nguvu bila ya kufanya kazi.

📌Kupungua kwa uzito wa mwili, na kuwa mdhaifu.

📌Kutoona vizuri na Kuhisi kizunguzungu.

📌Kuwa na maambukizi ya ngozi na vidonda visivyopona haraka.

📌Baadhi ya viungo vya mwili k**a vidole vya miguu na mikono kufa ganzi.
👉Ni muhimu kumwezesha mgonjwa kuwa mhimili mkuu katika kumudu ugonjwa wa kisukari ili awe tayari kutafuta ushauri wa kitaalamu na asikubali kupewa taarifa potofu na watu wasiokuwa na uelewa wa kutosha.

MARA TU UONAPO DALILI HIZO WAHI KUTIBU TATIZO LAKO MAPEMA

Kwa ushauri wa afya zaidi wasiliana nasi kwa namba hii 0717160021

Photos from Saraah Functioning's post 24/03/2022

KWA USHAURI WA KIAFYA ZAIDI
Wasiliana nasi kwa namba
0717160021

23/03/2022

KWAHIYO ILI USIWE NA UZITO MKUBWA wala mdogo ni lazima kiwango cha nishati kinachoingia mwilini kilingane na mahitaji ya mwili wako hivyo basi uzito mkubwa hutokana na kula kiwango kikubwa cha nishati ikiwa matumizi ya nishati hiyo mwilini ni kidogo.
Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kwa namba hii
0717160021

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Njiro
Arusha